TAARIFA YA HIVI PUNDE

ALEXIS AMETIA SAHIHI KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED


• Mkhitaryan kujiunga na Arsenal kama sehemu ya mpango huo

Manchester United inafuraha kutangaza rasmi kuhusu kusainiwa kwa Alexis Sanchez kutoka Arsenal katika mpango Wa kubadirishana na muarmeni Henrikh Mkhitaryan.

Akizungumza kuhusu uhamisho wake, Alexis Sanchez alisema: "mimi nina furaha kubwa kwa kuweza  kujiunga na klabu kubwa katika dunia. Mimi nilitumia miaka mitatu na nusu ambayo ilikuwa miaka ya ajabu (mambo ya kushangaza) ndani ya Arsenal na mimi kuwa Kama sababu na nimeondoka na kumbu kumbu nzuri Sana ndani ya klabu kubwa Arsenal na mashabiki wake. Nafasi ya kucheza katika huu uwanja Wa kihistoria na kufanya kazi na Jose Mourinho ilikuwa ni kitu ambacho nisingeweza kukikataa. Najisikia fahari sana kwa kuwa  mchile Wa kwanza daima  kucheza ndani ya kikosi cha kwanza cha United na naamini naweza kuonyesha mashabiki wetu wote duniani kote kwa nini klabu ilihitaji Sana kunileta hapa"

                      [Mutv]