Mambo matano kuhusu mchezo wa jana kati ya Arsenal na Chelsea

Mambo matano ya kuongelea kuhusu mechi ya Jana kati ya Arsenal na Chelsea 


1. Chelsea ni bora wakamuongezea mkataba Hazard 


Imepita saa, amepita mtu. Hazard hakustahili kuwa upande ulio poteza.

Antonio Conte anaweza kuwa bila ya Alvaro Morata - ambao yupo nje ya fomu hata hivo-,na anaweza asimtegemee Michy Batshuayi, lakini anajua anaweza kumtegemea Eden Hazard.

Mtu huyo mwenye kipaji kutokea Ubelgiji alionyesha uwezo Wa hali ya juu kuweza kufunga goli hilo maridadi na kuifanya timu kuwa mbele kwa goli moja. .

Angeweza kufunga goli la pili Kama Shkodran Mustafi asinge mkanyaga katika kisigino chake wakati alipokuwa anaenda kutaka kufunga goli. Ni hiyo ndio sababu ya Real Madrid wana jipanga wamchukue katika majira ya joto na inaweza kuwa habari mbaya kwa Chelsea.

Hazard ni aina ya wachezaji hodari ambae wanaweza kumtumia ili kuimarisha upande Wa mashambulizi. Ni vizuri Chelsea wakamuongezea mkataba mpya mapema.

2. Barkley Ana thamani ya £15 ?


Ameonekana ni mwenye kutulia saana (kacheza vizuri) katika mchezo wake Wa kwanza ndani ya Chelsea mbaye aliingia baada ya Willian kutoka kwasababu ya kupata kuumia.

Aliifanya kuwa nyepesi na kuonesha uwezo mzuri katika kazi yake

Japokuwa, kulikuwa kuna wakati, ambao angefanya vizuri zaidi ili kuwavutia watu waliokuwa wakimhitaji , kumpa msaada Wa hali ya juu Eden Hazard kwa kucheza Kama namba tisa butu, zaidi kuonesha hata ishara kwamba kwa £15m amekuwa mchezaji Wa kutegemewa kwa Chelsea na kuwafanya Spurs wajute.


3.Wenger alihitaji zaidi hayo matokeo


Oh kwa jinsi bosi Wa Arsenal alivyohitaji ushindi huo kwaajili ya kupambana na kuondoka akiwa na jina kubwa la kuacha klabu ikiwa na vikombe vingi kukiko klabu nyingine.

Arsenal walihitaji kuthibitisha kuwa wanaweza fanya vizuri bila ya Sanchez na Jana walipambana na kuonesha mpira mzuri katika usiku ambao watu wengi walijua watakuwa na udhaifu.

Waliaza kuthibitisha kwa kupata Ushindi rahisi zaidi dhidi Crystal Palace ilikuw ilianza na kufuatia kuwakabili Chelsea.


4. Bakayoko chini kiwango


Bado anajitahidi. Bado michezo inaendelea kumkataa,Bado anaendelea kubaki kivuli cha mchezaji (Bakayoko) Yule aliyekuwa Monaco.

Kwa hakika lazima itakuwa ndio lengo lake la kwenda na kadi uingereza katika msimu huu. Lakini (Bakayoko) hauwezi kutoka kuwa mchezaji mzuri na kuanza kucheza vibaya kwa mara moja.

Chelsea ina matumaini atakuwa bora msimu ujao. Na na hakika haitakuwa hali mbaya zaidi


5. Lacazette aliwekwa benchi kwa faida


Lacazette alifunga goli lake la kwanza katika michezo kumi waliposhinda 4-1 dhidi ya crystal Palace jumamosi iliyo pita.
Lakini kuna hili; ilkuwa mechi Ya tisa katika msimu ambayo alishindwa kuonyesha ushawishi katika timu na hiyo ilikuwa kabla ya kucheza na crystal palace. Lakini sasa anaonesha ubora wake
Nafikiri kwa kiasi flani muda Wa Wenger kumtoa Lacazette katika kuwa nje ya kucheza kila mchezo (benchi) umefika kutokana na umuhimu wake katika timu kwa sasa.

                           [Mirror]