MKHITARYAN KUFANYUWA VIPIMO NA ARSENAL

Henrikh Mkhitaryan ameonekana akiwa katika hoteli jijini London akisubiri kufanyiwa vipimo na Arsenal na pia kuhusu mpango wake Wa mabadirishano kuhamia Emirates. 
Henrikh Mkhitaryan anatarajia kufanyiwa vipimo na Arsenal siku ya jumapili (yaani Leo) na mpango wake Wa kuhamia Arsenal unatarajiwa kukamilika ifikapo jumatatu, kwa mujibu Wa sky sports

                             [sky sports]