NATAKA KUFANIKIWA

Inawezekana upo katika ukurasa huu kwasababu unataka uwe ni mtu mwenye mafanikio. Unahitaji vitu (gari, nyumba, n.k) na hisia zote zinazopatikana ukiwa ni mwenye MAFANIKIO
.Hiyo inapendeza Sana na natamani itokee kwako, ila! Pale inapokuwa hakuna tatizo katika kufanikiwa kuna kitu cha muhimu unatakiwa ukizingatie na kinahusu kwanini kulenga MAFANIKIO Kama MAFANIKIO sio shabaha (lengo) sahihi:

MAFANIKIO ni shabaha inayo jongea

Kuwa mkweli, ni nini mafanikio kwako?
• ni kuhusu kutangaza bidhaa na kuwafanya watu wanunue?
• ni kuhusu kupata heshima kutoka kwa wenzako na washauri wako?
•ni kuhusu kufanya kile unacho kipenda?
Watu wengi saana hawaja jitengenezea tafsiri yao ya MAFANIKIO. Wanabakia kukimbilia mawazo ambayo wameyakusanya kutoka katika vile walivyo visoma, kuviona au kufikiria vinatakiwa viwe ndo malengo yao.

Unajua hisia ya kutokukubali moja kwa moja kwamba mafanikio unayakimbilia ni sahihi kwako ( unayoyataka)? Licha ya kupata hisia hiyo lakini bado unayakimbilia?, hivyo sivyo mafanikio ya kweli yanavyo patikana kwasababu hata ukifanikiwa kuyapata hayo mafanikio hauta hisi chochote. Kuyapata mafanikio yasiyo sahihi sikuzote utajihisi bado Una mapungufu.
                    [Coppy blogger]