REAL MADRID wametoa ofa kubwa kwa ajili ya DE GEA

Real Madrid wametoa ofa kubwa kwa ajili ya De gea

Real Madrid wameongeza Mara mbili zaidi ya juhudi yao ili kuonesha wanamuhitaji David de Gea kwa kufanya malipo ya fedha na kuongda wachezaji wawili juu ili wampate goli kipa huyo, taarifa hiyo imetolewa na Don Balon .

Kipa huyo ni kwa muda mrefu amekuwa katika malengo ya Wa Bernabeu, lakini Manchester United wanasita kuuza moja ya zao muhimu kwa wachezaji (De gea). 
Lakini  jitihada hizo zinazo husisha fedha na pamoja na ziada ya wachezaji wawili ambao ni  Keylor Navas na Mateo Kovacic zinaweza zikabadirisha muelekeo na kuachana na Man untd.

                                 [Goal]