MAN CITY katika maongezi kumsajili Laporte

Manchester City ipo katikamazungumzo ya kumsaini beki wa Athletic Bilbao Aymeric Laporte, Sky Sports News wamepata taarifa hiyo.

Kwa mujibu wa sky ndani ya Italia, Pep Guardiola na city wanatarajia kulipa £60m ambazo zinahitajika ili mfaransa huyo Wa kimataifa aruhusiwe kujiunga na timu hiyo.
City wapo katika soko kwa ajili ya mchezaji mpya Wa nyuma upande Wa kati kati- katika dirisha hili la januari, na inaeleweka kwamba mazungumzo kati ya klabu mbili ni yataendelea siku ya jumanne mchana.

Mchezaji huyo mwenye umri Wa miaka 23 alikataa kujiunga na City wakati Guardiola alipofika katika klabu mwaka 2016, na alitoa taarifa kuhusu kuhitajiwa na idadi kadhaa ya klabu kubwa barani ulaya ikiwa ni pamoja na Barcelona, Manchester United na Chelsea.

Ameibuka kuhitajiwa saana na man city, ambao wameonesha nia ya kumuhitaji Jonny Evans Wa west btom, Inigo Martinez Wa Real sociedad na beki Harry Maguire Wa Leicester.


                        [Sky sports]