Mashabiki Wa Manchester United :watoa ya moyoni kwa mkhitaryan kutokana na mechi ya Jana kati ya Arsenal na Swansea city

Mashabiki Wa Manchester united wamtolea ya moyoni mkhitaryan  kupitia mitandao ya kijamii kutokana na kauli yake aliyo isema baada ya kuhamia Arsenal kwamba Anaipenda Arsenal kwasababu inacheza mpira Wa kutafuta ushindi na sio kuzuia tu (kupaki basi) na hiyo ni baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha 3 - 1 hapo Jana usiku. 

Bonyeza hapa ili kuendelea kusoma habari hii πŸ‘‡πŸ‘‡