Bosi Wa Chelsea Antonio Conte hakuwa na furaha kwa Alvaro morata na ametoa amri wachezaje wake waacheche kukaba kwa kuseleleka chini (Ku dive)

 Antonio Conte amesisitiza yeye hataki wachezaji wake Wa Chelsea kukaba kwa kuseleleka chini (Ku dive) , kushinda kwa adhabu (penalties) na alikiri yeye hakufurahia jinsi Alvaro Morata alivyotolewa katika mechi dhidi ya Norwich City katika Kombe la FA siku ya jumatano.


Chelsea walipungua na kubaki watu tisa  katika mzunguko wao watatu Wa mechi ya marudioano dhidi ya Canaries katika uwanja wa Stamford Bridge baada ya wote Pedro na Morata kutoleea nje ya uwanja katika mda Wa ziada kutokana na kwa ajili makosa ya kujitakia ya kila mmoja.

Pedro alipewa kadi yake ya kwanza ya tahadhari ya dakika za mwishoni baada ya yeye kukaba kwa kuseleleka katika eneo hilo katika dakika ya 62 kabla ya kutolewa nje ya uwanja kwa sababu ya kumchezea rafu  Wes Hoolahan ikiwa Ni kama adhabu kimchezo

Morata, ambae tu aliliingia katika dakika ya 81 kuchukua nafasi goalscorer Michy Batshuayi, na kujikuta akitolewa nje  dakika nne baadaye baada ya yeye kupewa kadi ya kwanza ya njano kwa ajili ya simulation na nyingine kwa ajili ya kupingana na mwamuzi Graham Scott juu ya uamuzi wake.
         
                   [Evening standard]