SABABU MOJA KUBWA YA KWANINI SIO KILA MTU NI MWENYE KUFANIKIWA

Kuna sababu kwanini si kila mtu ni mwenye mafanikio, kama si kila mtu anaweza kupanda hadi juu ya Mlima Everest, si kila mtu anaweza kuwa billionaire, na si kila mtu anaweza kukimbia marathon. Lakini kama unataka kufanikiwa katika kitengo au fani Fulani basi anza kulifanyia wazo hilo 

Watu waliofanikiwa wanafanya mambo ambayo watu wasio fanikiwa hawataki kuyafanya. Usiseme ilikuwa rahisi,  sema ulifanya vizuri kuliko wengine. ~ life hack
                          [Life hack]