Hatimaye Coutinho apewa namba

Philippe Coutinho kuvaa namba 14 ndani ya Barcelona kufuatia £148million iliyo kamilisha mpango wake Wa kutoka Liverpool

Mbrazir huyo aliondoka mapema januari hii katika dirisha la uhamisho lakini alikuwa bado hajapewa namba yake katika kikosi hicho cha Barcelona.
Namba hiyo hapo awali ilikuwa ikivaliwa na Javier Mascherano. Barcelona ilitangaza leo kuwa mchezaji huyo Wa Kimataifa kutokea Argentina mwenye umri wa miaka 33 anatarajia kujiunga na klabu ya Chinese Super Ligi club ya Hebei China siku ya ijumaa.

Mbrazil huyo alielekea kwa mabigwa hao Wa Laliga mapema mwezi huu na kuwa mchezaji Wa pili Wa mpira Wa miguu kununuliwa kwa gharama kubwa zaidi Duniani, lakini mchezaji huyo mwenye umri Wa miaka 25 alikuwa bado hajapewa namba atakayocheza katika klabu hiyo mwenye umri wa miaka japokuwa Alisha tangazwa.

                           [Mirror]