ARSENE WENGER : ni kweli namuhitaji Aubameyang

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kwamba ni kweli Ana mpango wa kumsajili mchezaji Wa mbele Wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang ambapo bado yupo katika majadiliano.

Mchezaji huyo Wa kimataifa kutoka Gabon anahusishwa saana na Arsenal na Wenger anasema kwamba mazungumzo yanaendelea.

Aliulizwa kama yeye ana amini ataweza kukamilisha mpango huo Wa kumsajili Aubameyang, Wenger alisema: "Na amini au Si amini, sijui"

                            [Sky sports]