JE UNGEPENDA UJUE KATIKA TIMU YAKO NANI AMESAJILIWA NA NANI AMEACHWA KATIKA DIRISHA HILI LA MSIMU WA KIANGAZI MWAKA 2018?

Angalia hapa chini orodha ya kina ya wote waliosajiliwa na walioachwa Adi kufikia Jana jumanne ya tarehe 16 katika Ligi Kuu mwaka 2018 januari ndani ya kipindi cha dirisha uhamisho (msimu Wa kiangazi), ambalo ufunguliwa januari 1 Adi januari 31

ARSENAL

Amesajiliwa

Konstantinos Mavropanos -kutoka PAS Giannina, £1.8m (Jan 5)

Amachwa

Francis Coquelin - kwenda Valencia, Ada haijawekwa wazi(Jan 11)

Tafari Moore - kwenda Wycombe Wanderers, kwa mkopo(Jan 12)

BOURNEMOUTH

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Hakuna

BRIGHTON

Amesajiliwa

Warren O'Hara - kutoka Bohemians, Ada haijawekwa waz(Jan 12)

Ameachwa

Jamie Murphy - kwenda Rangers, kwa mkopo(Jan 7)

BURNLEY

Amesajiliwa

Georges-Kevin N'Koudou -kutoka Tottenham, kwa mkopo(Jan 9)

Ameachwa

Hakuna

CHELSEA

Amesajiliwa

Ross Barkley - kutoka Everton, £15m na nyongeza juu(Jan 5)

Ameachwa

Jake Clarke-Salter - kwenda Sunderland, kwa mkopo(Jan 8)

CRYSTAL PALACE

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Noor Husin - kwenda Notts County, Ada haijawekwa wazi (Jan 12)

Keshi Anderson - kwenda Swindon, Ada haijawekwa wazi

EVERTON



Amesajiliwa

Cenk Tosun - kutoka Besiktas, £27m (Jan 5)

Ameachwa

Ross Barkley - kwenda Chelsea, £15m na nyongeza juu(Jan 5)

Liam Walsh - kwenda Bristol City,Ada haijawekwa wazi(Jan 5)

Kevin Mirallas - kwenda Olympiakos, kwa mkopo(Jan 7)

Harry Charsley - kwenda Bolton, kwa mkopo(Jan 12)

HUDDERSFIELD

Amesajiliwa

Terence Kongolo - kutoka Monaco, kwa mkopo(Jan 2)

Alex Pritchard - kutoka Norwich, £11m (Jan 12)

Ameachwa

Jack Payne - kwenda Blackburn, kwa mkopo

LEICESTER CITY

Amesajiliwa

Adrien Silva - kutka Sporting Lisbon, £22m (Jan 1)

Fousseni Diabate - kutoka Gazelec Ajaccio, Ada haijawekwa wazi

Ameachwa

Raul Uche - kwenda Real Betis, kwa mkopo

LIVERPOOL

Amesajiliwa

Virgil van Dijk -kutoka Southampton, £75m (Jan 1)

Ameachwa

Philippe Coutinho - kwenda Barcelona, £146m (Jan 8)

Cameron Brannagan - kwenda Oxford United, haijawekwa wazi(Jan 11)

Ryan Kent - kwenda Bristol City, kwa mkopo(Jan 12)

MANCHESTER CITY

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Isaac Buckley-Ricketts - kwenda Oxford United, kwa mkopo(Jan 12)

Kean Bryan - kwenda Oldham, kwa mkopo

Marlos Moreno - kwenda Flamengo, kwa mkopo

MANCHESTER UNITED

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Demetri Mitchell - kwenda Hearts, kwa mkopo(Jan 11)

NEWCASTLE

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Adam Armstrong - kwenda Blackburn, kwa mkopo(Jan 9)

SOUTHAMPTON

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Virgil van Dijk - kwenda Liverpool, kwa £75m (Jan 1)

STOKE CITY

Amesajiliwa

Moussa Niakete - kutoka Paris FC, bure (Jan 8)

Moritz Bauer - kutoka Rubin Kazan, Ada haijawekwa wazi(Jan 9)

Ameachwa

Hakuna

SWANSEA CITY

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Hakuna

TOTTENHAM HOTSPUR

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Georges-Kevin N'Koudou -kwenda Burnley, kwa mkopo(Jan 9)

Marcus Edwards - kwenda Norwich, kwa mkopo(Jan 15)

WATFORD

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Alex Jakubiak - kwenda Falkirk, kwa mkopo (Jan 11)

Michael Folivi - kwenda Boreham Wood, kwa mkopo (Jan 11)

Charlie Rowan - kwenda Accrington Stanley, kwa mkopo (Jan 12)

Brice Dja Djedje - kwenda Lens, kwa mkopo (Jan 12)

WEST BROMWICH ALBION

Amesajiliwa

Ahmed Hegazi - kutokea Al Ahly,Ada haijawekwa wazi

Ameachwa

Kane Wilson - kwenda Exeter, kwa mkopo(Jan 11)

WEST HAM UNITED

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Hakuna

      [Sky sport]