MPANGO UMEKAMILIKA

ALEXIS SANCHEZ mpango wake Wa kuhamia Manchester United inaonekana kuwa umekamilika baada ya yeye kuonekani akijipiga picha (selfie) akiwa amevalia jezi ya mashetani wekundu kwa mara ya kwanza'.


Mchile huyo alienda katika uwanja Wa mazoezi Wa united uitwao Carrington complex jumapili ya Jana kwaajili ya kumalizia taratibu za uhamisho wake kuingia united kutoka Arsenal.
Na picha zimevija Jana majira ya jioni zikimuonesha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 akiwa amesimama ndani ya uwanja Wa Old Trafford na huku akijipiga picha (selfie) akiwa amevalia jezi kamili ya Manchester.
Sanchez anatarajiwa kutambulishwa rasmi kama ni mmoja ya wachezaji Wa united siku ya jumatatu (leo) Mara baada ya kukubaliana maswala binafsi.


                          [The Sun]