IPI NI NJIA SAHIHI/ YAPI NI MAAMUZI SAHIHI



Hebu waza we ni kijana au mtu wa makamo unawaza kufanya mambo kadhaa katika maisha yako,

 kwa ujumla mabadiliko ya maisha, kuchukua fursa, kujaribu je mawazo ya watu wengine ni ya muhimu?




Ni mamuuzi yapi yanafaa kushirikisha watu na yepi hayafai?

Je familia ni sehemu sahihi ya kupata mawazo ya maendeleo?
Je mawazo yao ni ukweli halisi au ni ukweli kwa historia zao wenyewe?
Je ni vyema kufanya maamuzi bila kushirikisha watu au kwa kushirikisha watu?



Naamini jibu la maswali hayo ni:


1.   Omba ushauri
2.   Changanua uambiwayo kutafuta mema na mabaya
3.   Fanya maamuzi ukiwa fika unafahamu pande zote mbili za matokeo
4.   Kama ni fursa usiogope ni bora kuangukia mbele kuliko kukaa sehemu moja bila kujua ungefanikiwa ama la
5.   Amka ukiwa na hari mpya kila siku
6.   Usichoke maan uchokapo ndipo ukaribiapo mafanikio
7.