spurs 2 - 0 Man united : Mambo matano yaliyo ongelewa kutokana na mchezo huu

Tottenham Hotspur walijipatia goli la kwanza la mapema kabisa kabla dadika ya kwanza kuisha kupitia Eriksen, na la pili kupitia Jones baada ya kujifunga na kupelekea Manchester united kuchezea kichapo cha magoli 2 - 0, kuna mambo matano yaliyo ongelewa kutokana na mchezo huu...  Bonyeza hapa...

Habari rafiki..

OKama kuna mwezi ambao unaongoza kwa kulaumiwa na kulalamikiwa kwenye miezi 12 ya mwaka, basi ni mwezi Januari. Watu wengi huwa na malalamiko kuhusu mwezi huu, na hata wengine ambao hawana sababu zozote za kushindwa kufanya kitu, basi mwezi huu huwa sababu kwao. Mwezi huu pia umekuwa unatumika kwa utani...

Katika siku ya mwisho ya usajili : Arsenal kumsajili Aubameyang, Giroud kujiunga Chelsea na Batshuay kwenda Dortmund

Ikiwa dirisha la uhamisho linaenda ukingoni ambapo Adi kufikia saa tano usiku litakuwa limefungwa, leo kuna baadhi ya sajili zimefanyika ikiwa ni pamoja na Aubameyang kusajiliwa Arsenal,  Giroud kwenda Chelsea na Batshuay kujiunga na Dortmund.  Bonyeza hapa kuendelea kusoma habari hii...

Aubameyang : Nataka kuwa Kama Henry

Pierre- Emerick Aubameyang amesema atajitahidi kuwa Kama Thierry Henry ndani ya Arsenal baada ya kukamilisha taratibu zote za kuhamia katika timu hiyo.  Bonyeza hapa kuendelea kuisoma habari hii 👇👇 http://www.skysports.com/football/news/11670/11230605/aubameyang-i-want-to-be-like-henry...

Taarifa za awali na Utabiri kabla ya mchezo kati ya Tottenham Hotspur dhidi ya Manchester united.

Leo kutakuwa na mtanange kati ya Tottenham Hotspur wakiwakaribisha Manchester united baada ya kufungwa goli 1 : 0 ndani ya Old Trafford mwaka Jana. Zifuatazo ni taarifa za awali za timu hizo mbili na utabiri kabla ya mchezo huo kuanza..hapo baadae Bonyeza hapa ili uendelee kusoma habari hii 👇👇...

Mashabiki Wa Manchester United :watoa ya moyoni kwa mkhitaryan kutokana na mechi ya Jana kati ya Arsenal na Swansea city

Mashabiki Wa Manchester united wamtolea ya moyoni mkhitaryan  kupitia mitandao ya kijamii kutokana na kauli yake aliyo isema baada ya kuhamia Arsenal kwamba Anaipenda Arsenal kwasababu inacheza mpira Wa kutafuta ushindi na sio kuzuia tu (kupaki basi) na hiyo ni baada ya Arsenal kuchezea kichapo...

Swansea 3 - 1 Arsenal : Mambo matano yaliyo ongelewa

Katika mchezo uliochezwa Leo kati ya Swansea city na Arsenal  ambapo Mkhitaryan ndo kaanza rasmi kuitumikia Arsenal, Na mchezaji ambaye tayari amekwisha uzwa Giroud kushindwa kuiokoa Arsenal baada ya kuingia ikiwa Arsenal ipo nyuma kwa goli Moja. Kuna mambo matano yaliyo ongelewa kutokana na mchezo...

matokeo ya mechi sita za mwisho ya Spurs na ya Man united

Matokeo ya mechi sita za mwisho ya Tottenham Hotspur na ya Manchester united huenda yana ashiria matokeo yatakayo patikana siku ya kesho ambapo Tottenham wanamkaribisha Manchester United.  Bonyeza hapa ili kuona matokeo hayo 👇👇 http://www.skysports.com/football/tottenham-vs-man-utd/3733...

Mambo sita yaliyo onekana katika uwanja Wa mazoezi Wa Arsenal

Mambo sita yaliyo onekana katika uwanja Wa mazoezi Wa Arsenal ikiwa Arsenal wanajiandaa kwa ajili ya mtanange dhidi ya Swansea katikati ya week hii ndani ya uwanja Wa Liberty (Liberty stadium).  Soma hapa habari kamili 👇👇 https://www.mirror.co.uk/sport/football/news/6-things-noticed-ars...

Ya moto moto : Taarifa inayohusu sababu iliyofanya Spurs wakaribie kuchezea kichapo imetoka, Dele Ali ahusishwa

Michel Vorm, Eric Dier, Mousa Dembele na Dele Alli wahusishwa kuwa sababu moja wapo ya kutaka kupelekea Tottenham Hotspur kuchezea kichapo.  Soma hapa habari kamili 👇👇 https://www.thesun.co.uk/sport/football/5444121/newport-county-tottenham-scouting-report-fa-cup-reveale...

Arsenal wanakaribia kukubali

Arsenal wanakaribia kukubali kutoa kiasi cha kukaribia £60m kwaajili ya kumsajili Pierre Emerick Aubameyang kutokea Borussia Dortmund.  Soma hapa habari kamili 👇👇 http://www.skysports.com/football/news/11670/11227211/arsenal-close-to-agreeing-pierre-emerick-aubameyang-fee-with-borussi...

JE! wajua?

Kitendo cha kujikuta unafumba fumba macho bila kutarajia (eyes blinking) ukijumrisha kwa siku nzima inakadiriwa ni sawa na ku fumba macho kwa muda Wa dakika 30.                           [Did you kn...

TAHADHARI

*Picha hii haihusiani na tukio hilo* Kuna mtindo mpya wa wizi umevamia Masherehe mbalimbali Katika sherehe ya harusi ikiwa inaendelea majambazi uja na kuongea na MC wa harusi kuwa kuna gari namba fulani fulani nje ya ukumbi limezuia gari, hivyo MC utangaza na muhusika anapokuwa anatoka nje majambazi...

Na hii ndio list ya Makipa na idadi ya michezo ya bila kufungwa katika EPL, De gea anaongoza

DE GEA kuongoza kwa kuwa na idadi nyingi ya kucheza bila kufungwa katika EPL Ili kuona list hiyo ya makipa na idadi yao ya kucheza bila kufungwa bonyeza hapa 👇👇 https://www.transfermarkt.com/premier-league/weisseweste/pokalwettbewerb/GB1...

Kilimo

Ukifanya kilimo cha kwanza kufahamu ni yafuatayo 1. Zao linaharibika ndani ya mda gani 2. Soko lako lipo kwa kiasi gani 3. Ushindani wa zao husika sokoni 4. Hali ya hewa na athari zake katika kilimo 5.Uwekezaji wenye tija wa kiasi cha pesa Ifikie fursa, Itendee haki ...

Trump akutana na Kagame Davos

 January 26, 2018.Rais Kagame (Kushoto) na Rais Donald Trump wa Marekani wakutana mjini Davos, Uswizi. Ijumaa Januati 26, 2018. Rais wa Marekani Donald Trump, Ijumaa alikutana na Rais wa Rwanda Paul Kagame na kumwita “rafiki” kufuatia maoni yenye utata anayodaiwa kutoa Trump kuhusu nchi za Afrika....

IJUE SAFARI YA SÁNCHEZ KWA UFUPI ADI KUFIKIA USIKU HUU

Alexis Alejandro Sanchez Sanchez alizaliwa Mwezi Wa 12 tarehe 19 mwaka 1988, pia anajulikana kwa kifupi Kama Alexis, Ni mchezaji mwenye uzowefu kutoka Chile ambaye anacheza mbele Kama mshambuliaji katika klabu ya uingereza Manchester united na Chile katika timu ya taifa. Na ifuatayo ni historia yake...