TUMULIKE MAISHA YETU

Amin usiamin maisha ya binadamu yana usumaku mkubwa ambao ni vigumu kuufahamu.
Mifano mingi ikiwapo  binadamu kuwa na lengo na kusudi lake huku duniani. Maisha haya ya binadamu huongozwa na imani, yaaani imani ya kiumoja na wingi.

Imani ya kiumoja.
Ni imani ya kutumai jambo fulani mtu kama  mtu na kutegemea jambo husika kutokea.

Imani ya wingi
Ni imani inayojumuisha kundi la watu ambao huamini jambo fulani kwa pamoja. Naaam imani ya wingi huchimbusha Dini.

Hivyo misingi ya dini fulani huzingatia imani fulani kujiendesha.

Naaaaam imani nyingi zilizoko duniani huwa zinaangalia mema, naam fanya mema kulinda imani yako husika.