Ni siku nyingine

Tutambue maisha bila malengo ni zaidi ya kuku aliye katwa kichwa.

Tuongee ukwel , binadamu sikuzote hapendi kujipa tabu hasa linapokuja suala la kufikiria nanja za maendeleo

Ni rahisi zaidi kuangalia movie  kupiga stori na kuacha saa 24 zipite  bila kuweka alama katika maisha.

Naam kwa tathimini za kisayansi ubongo ndo chanzo cha yote, nikiwa na maana kwamba
Ubongo huchochea homoni zinazo sababisha flite katika mwili wa mtu hivyo

Humkinga mtu na hali yeyote inayoonekana itamsumbua.

Ila je upo teyari kupigana na fikra za kujikinga na kuanza kuwaza mawazo chanya ya kuunda kesho.

mda tulionao ni sasa Amka kwa ari mpya ,


Soma zaidi.... Ili kujua fursa zilizo orodheshwa kwenye blog hiii.... Naam uzikifie pia na kuzitumia ipasavyo (kuzifanyia kazi).
Read..


Ufugaji wa kuku wa kienyeji.... Na bila shaka usisahau kumkaribisha na mwingine.


0 Comments: