JUHUDI

Mungu anamakusudi yake kukuweka hapo ULIPO,usiwe mtu wa kulalamika kwa kila jambo linalokutokea,
Mana hakuna mchezaji wa mpira yeyote yule ambaye akishika mpira anafunga goli moja kwa moja,lazima kuna watu ambao watakua wanamzuia ili asilifunge gori,ila juhudi zake,maarifa yake na kujiamini kwake ndio kutamfanya ALIFUNGE GORI.

Ivo Unapoweka lengo lolote lile pia kaa ukijua kwamba na vizuizi (Changamoto) pia zipo, ivo isilalamike zinapokutokea.
Badala yake fanya kila njia ili uweze kuishinda,
KULALAMIKA ni dalili ya kwamba wewe huna uwezo wa kukabiliana na ilo Jambo lililokutokea.

Credit to Mr mikazi,