Wenger: mpango Wa Sanchez, mkhitaryan umefungwa

Arsene Wenger amethibitisha mpango wao Wa uhamisho kati yao na Manchester United unaowashirikisha Alexis Sanchez na Henrikh Mkhitaryan bado unaweza kutokea januari hii
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema Alexis
Sanchez kuhamia Manchester United ni "inaweza kutokea" katika masaa 24 ijayo

Wenger pia alisema "kumlipa mshahara Henrikh Mkhitaryan haitakuwa tatizo" na hiyo ilikuwa Ni kuhusu mpango Wa kubadirishana wachezaji Alex na mkhitaryan na muarmeni huyo anaonekana ndo anaenda kuziba pengo la Alex, na kuhusu Mesut Ozil  "hataondoka katika klabu januari hii" alisisitiza.

"Nimekuwa katika kazi ya uhamisho (transfer) kwa muda wa miaka 30 hivyo huwa inatokea wakati wowote mambo yanaweza kuwa tofauti," Wenger alisema.

"Hivyo ndivyo soko la uhamisho(transfer market)  linavyokuwa ,ila cha muhimu Ni kwamba isizidi mipaka hivyo hatuna budi kukubali kwamba kinaweza pia kutokea chochote. Mambo ya aina hii huwa hayatabiriki kamwe ."

Alipoulizwa kama Mkhitaryan alihusika katika mpango huo, Wenger alisema: "uelewa Wangu ni ndiyo. Na kuhusu kumlipa Mshahara haiwez kuwa tatizo"

 bila shaka [natamani awe kwenye kikosi changu].na huu mpango umewezekana ni kwa sababu mimi natamani niwe na mchezaji (mikhtarian) kwenye kikosi changu.

"Tulicheza mara nyingi dhidi yake wakati yeye alikuwa katika Dortmund hivyo yeye bila ya shaka alitokea kuvutiwa na ubora wa michezo yetu na aina ya mchezo sisi tunaocheza hivyo Ni kwamba bila ya shaka yeye anapenda klabu.
"Hii itakuwa kubadilishana kati ya wachezaji na nadhani mtu anaweza kuchukua nafasi nyingine sio lazima acheze nafasi ya aliabadirishwa nae. Je Sisi bado tupo katika soko la uhamisho sbaada ya hapo? Ndiyo."

Manchester United wako tayari kulipa Alexis Sanchez zaidi ya us $ 350,000 kwa wiki na Wenger ameweka wazi Arsenal "clabu ilijitahidi kwa kadri ya uwezo wake Wa hali ya juu" ili Alex abaki.

                              [Sky sport]

De gea : kwanini Manchester united Ni ya kipekee sana

David de Gea amekataa kuhusishwa na uvumi kwamba yeye hivi karibuni ataingia mkataba mpya na Manchester United , lakini ameelezea furaha yake kuwa katika klabu ya kipekee saana. 

Mlinda mlango huyo mwene umri Wa miaka 27 mkataba wake Wa kuitumikia Manchester united unamalizika ifikapo mwisho wa msimu ujao na kuna uvumi kwamba yupo kwenye mazungumzo ya kuingia mkataba mpya Wa muda mrefu zaidi kuweka kuanza zaidi Old Trafford.

Alipoulizwa kuhusu mkataba wake katika mahojiano maalum na Sky Sports, De Gea alisema: "sidhani kama ni wakati wa kuanza kuzungumza juu ya siku zijazo, na si wakati wa kukaa na kuzungumzia mikataba.
"Tuna michezo kati ya sasa na mwisho wa msimu na jambo la kwanza kabisa kufikiria Ni kuhusu mechi yetu na Burnley mwishoni mwa wiki hii.

"Ni yote kuhusu kutuliza kichwa, kuwa na malengo, kufanya kazi kwa bidii, kushinda katika mazoezi, kujiweka imara na kuokota pointi."

Wakati De Gea alikuwa akisita kujadili mustakabali wake, yeye hakusita kusema furaha anayoisikia kwa kuwepo Manchester United.

"Tu kuwa sehemu ya klabu hii ni maalum ambayo Ni yakipekee yenyewe," alisema. "Kuwa mchezaji na sehemu ya klabu hii maalum, na kupata nafasi ya kuvaa jezi, na kwenda mbali kwenye mechi, ni kitu ambacho daima kitakuwa fahari na maalum sana.

"Kuwa sehemu ya klabu kubwa kama Manchester United inakufanya uwe na hisia na taratibu unatambua jinsi gani ya klabu Ina maana kwa mashabiki na watu ambao wanafanya kazi hapa. Kwakua wanaishi kwa ajili ya mechi, hivyo kwamba wanakuwa sehemu ya wewe na unaweza tu kufahamu kwamba uliutumia muda wako hapa"

De Gea amekuwa Wa Ki maajabu katika kipindi cha msimu huu akiwa chini ya meneja Jose Mourinho akisema yeye ni "kipa bora katika dunia" baada ya kuokoa mikwaju kadhaa ya hatari na kushinda 3-1 dhidi Arsenal mnamo mwezi desemba 2017

.Alipoulizwa juu ya uwezo wake Wa kulinda lango , De Gea alisema kwamba hiyo yote Ni kwasababu ya aliekuwa mshauri Wa zamani Wa Atletico Madrid bwana Emilio Alvarez ambaye Ni kocha Wa makipa Wa Manchester united.

"Sisi tulijuana tokea muda mrefu na kufanya kazi kwa pamoja tangu nikiwa kijana mdgo Sana " De Gea alisema. "Yeye anajua nini cha kunambia, jinsi ya kukabiliana na mimi kama kuna mashaka yoyote yakiingia katika akili yangu, yeye amenisaidia mambo mengi ya kutisha.

"Yeye anajua mimi kama mchezaji na kama mtu na kuna hisia maalum ambayo ipo kati yetu, na kwa kweli tuna uhusiano mzuri saana Wa kikazi, hivyo nadhani kama wewe ukijiuliza juu ya sababu ya mambo kwenda vizuri msimu huu hii inaweza kuwa Ni kutokana na moja ya sababu ya nyuma yake."

Licha ya De Gea ya kuwa na kiwango kizuri cha kulinda goli, United bado wanajikuta pointi 12 nyuma ya wanao ongoza Ligi Kuu Manchester City.

De Gea anasema itakuwa "vigumu" kuwakamata man cty, lakini si vigumu.

"Kiukweli unaweza kusema ni vigumu, lakini katika Ligi Kuu huwezi kujua nini kitatokea," alisema.

"Ni vigumu sana katika ligi ya ushindani . Ni wazi itakuwa ngumu. Kuna kabisa pengo kubwa, pointi 12 ni nyingi, lakini sisi tutapambana kwa nguvu zetu zote katika kila mchezo ili tupate pointi nyingi naamini tunaweza na kisha tuone ambapo sisi tutaishia katika mwisho wa msimu. Hakuna kukata tamaa ni kupambana mpaka mwisho."

                           [Sky sport]

Bosi Wa Chelsea Antonio Conte hakuwa na furaha kwa Alvaro morata na ametoa amri wachezaje wake waacheche kukaba kwa kuseleleka chini (Ku dive)

 Antonio Conte amesisitiza yeye hataki wachezaji wake Wa Chelsea kukaba kwa kuseleleka chini (Ku dive) , kushinda kwa adhabu (penalties) na alikiri yeye hakufurahia jinsi Alvaro Morata alivyotolewa katika mechi dhidi ya Norwich City katika Kombe la FA siku ya jumatano.


Chelsea walipungua na kubaki watu tisa  katika mzunguko wao watatu Wa mechi ya marudioano dhidi ya Canaries katika uwanja wa Stamford Bridge baada ya wote Pedro na Morata kutoleea nje ya uwanja katika mda Wa ziada kutokana na kwa ajili makosa ya kujitakia ya kila mmoja.

Pedro alipewa kadi yake ya kwanza ya tahadhari ya dakika za mwishoni baada ya yeye kukaba kwa kuseleleka katika eneo hilo katika dakika ya 62 kabla ya kutolewa nje ya uwanja kwa sababu ya kumchezea rafu  Wes Hoolahan ikiwa Ni kama adhabu kimchezo

Morata, ambae tu aliliingia katika dakika ya 81 kuchukua nafasi goalscorer Michy Batshuayi, na kujikuta akitolewa nje  dakika nne baadaye baada ya yeye kupewa kadi ya kwanza ya njano kwa ajili ya simulation na nyingine kwa ajili ya kupingana na mwamuzi Graham Scott juu ya uamuzi wake.
         
                   [Evening standard]

   (Picha:Eamonn na James Clarke) 
Alipokutana na waandishi wa habari akiulizwa kuhusu mpango Wa imminent kwa ajili ya Sanchez, kumbe mreno huyo alikuwa akizugwa tu

Licha ya kugundua , alionekana kuchukulia Ni poa tu ingawa aliweka mikono yake juu ya macho yake kama ishara ya kuwa ameshagundua mchezo mzima aliofanyiwa
    (Picha: Eamonn na James Clarke)

Waandishi Wa habari wakiwa wameishikiria jezi ya Manchester united yenye jina la António Conte

          (Picha:Eamonn na James Clarke )
             [Mirror]
     

Jose Mourinho alibaki na uso ukiwa mwekundu baada ya kutia sahihi jezi ya Manchester United... ambayo nyuma kulikuwa na jina la mpinzani wake António Conte

Jose Mourinho alikuwa katika mood ya furaha ya hali ya juu siku ya jumatano majira ya usiku ambapo Manchester United walikuwa wamefikia hatua za mwisho ili Alexis Sanchez atue man u.


Lakini  akabaki huku uso ukiwa mwekundu baada ya kuwasili katika hoteli inayoitwa  Lowry Hotel na kukutana na kituo cha television kiitwacho Italian TV  kimeshawasili

Akaombwa na kituo hicho cha runinga atie sahihi jezi ya Manchester united lakini baada ya kulazimika, akagundua jezi hiyo ilichapishwa jina la Antonio Conte juu yake .

Watu hawa wawili walipambana kwenye hafla nyingi tangu Conte kuhamia England na maneno mengi yalienea hivi karibuni.

Mapema mwezi huu, Mourinho alisema yeye kamwe kuwa na "suspended kwa ajili ya match-fixing" katika jibe kwa Conte, ambaye alijibu kwa kumwita yeye ni mtu mdogo.

           [Mirror]

JE UNGEPENDA UJUE KATIKA TIMU YAKO NANI AMESAJILIWA NA NANI AMEACHWA KATIKA DIRISHA HILI LA MSIMU WA KIANGAZI MWAKA 2018?

Angalia hapa chini orodha ya kina ya wote waliosajiliwa na walioachwa Adi kufikia Jana jumanne ya tarehe 16 katika Ligi Kuu mwaka 2018 januari ndani ya kipindi cha dirisha uhamisho (msimu Wa kiangazi), ambalo ufunguliwa januari 1 Adi januari 31

ARSENAL

Amesajiliwa

Konstantinos Mavropanos -kutoka PAS Giannina, £1.8m (Jan 5)

Amachwa

Francis Coquelin - kwenda Valencia, Ada haijawekwa wazi(Jan 11)

Tafari Moore - kwenda Wycombe Wanderers, kwa mkopo(Jan 12)

BOURNEMOUTH

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Hakuna

BRIGHTON

Amesajiliwa

Warren O'Hara - kutoka Bohemians, Ada haijawekwa waz(Jan 12)

Ameachwa

Jamie Murphy - kwenda Rangers, kwa mkopo(Jan 7)

BURNLEY

Amesajiliwa

Georges-Kevin N'Koudou -kutoka Tottenham, kwa mkopo(Jan 9)

Ameachwa

Hakuna

CHELSEA

Amesajiliwa

Ross Barkley - kutoka Everton, £15m na nyongeza juu(Jan 5)

Ameachwa

Jake Clarke-Salter - kwenda Sunderland, kwa mkopo(Jan 8)

CRYSTAL PALACE

Amesajiliwa

Hakuna

Ameachwa

Noor Husin - kwenda Notts County, Ada haijawekwa wazi (Jan 12)

Keshi Anderson - kwenda Swindon, Ada haijawekwa wazi

EVERTON