usichokijua kuhusu chafya

kupiga chafya ni moja ya hitaji kubwa la kuweka afya yako imara..


soma hii,
Image result for usefulness of sneezing

Kupiga chafya husaidia huondoka bakteria pamoja na virusi vinavyoingia mwilini kupitia njia ya upumuaji.

hivyo! mate pamoja na hewa hubanwa na mwili na kutolewa nje kwa kasi kupunguza vizuri kiwango hicho cha virusi pamoja na bacteria mwilini kwa njia ya kupiga chafya.