FIKRA

Fikra  hata siku moja haziwezi zikawa sawa toka kwa mtu mmoja  na  hadi mwingine.

Vivyo hivyo ilivyo kwa fursa mbali mbali katika maisha fursa moja huweza kumnufaishisha huyu nayo fursa hiyo hiyo ikashindwa kunufaisisha mwingine.

Ni vyema tufahamu kuwa kama binadamu huwa tuna uwezo mkubwa na vitu ambavyo vinatufahisha na tunaviweza sana maishani

Kwa kauli fupi kipaji ulicho nacho ndio fursa yako.

0 Comments: