Soko la ajira limekumbwa na changamoto nyingi sana Tanzania, haswa kwa wananchi waliokuwa wanatarajia kuajiriwa katika sekta rasmi za serikali pamoja na sekta binafsi kutokana na ubadilikaji wa sera ya nchi,
Mabadiliko katika nyanja zote ni muhimu ili jamii iweze kuishi vyema, bila mabadiliko yenye mauvumivu kidogo kwa ajili ya kupata mafanikio yasiyoisha kwa nchi nzima kwa siku za mbeleni hatuwezi kufika mbali, KUTOKA KWA MWANDISHI CHARLES DARWIN 1864 ,mabadiliko hutokea na ni lazima yatokee, ila watu wawezao kupita salama katika mfumo wa mabadiliko sio wenye fedha san, sio wenye akili sana, sio wenye vyeo sana, ila wale wenye uwezo wa kundeana na mabadiliko.
Je mi na wewe tunaweza kupitaje katika kipindi hiki cha mabadiliko hilo ni swali kubwa tunalopaswa kujiuliza, bila shaka fikra za kuweza kuendana na mfumo ni niyngi je twaweza, kufanikiwa
jibu langu ni ndiyo, pale tu tutakapoendana na mabiliko na kuangalia fursa zinazopewa kipaumbele na madhumuni ya mabadiliko.