BAADHI YA WANYAMA TUNAOWAJUA KUWA NI WAZURI KWA MWONEKANO AU UMBO, NI BAADHI YA WANYAMA HATARI ZAIDI DUNIANI KWA KUSABABISHA VIFO KWA WANADAMU KWA NAMNA ZIFUATAZO.
1.DOLPHIN- HUZAMISHA NDANI YA MAJI BILA YA KUWA NA SABABU MAALUMU(WAKIAMUA TU)
2.MBWA- KUNGATA WATU
3. SOKWE MTU- HOUONGOZA KWA KUSHAMBULIA WATU USONI NA MIKONI HADI KUWAUA
4. DUBU-- HUWEZA KUVUNJA VUNJA MIFUPA YA WANADAMU KWA KUNGATA NA MENO YAO
5. TEMBO- HUONGOZA KWA KUWAUA BINADAMU KWA KUWA VUNJA VUNJA
6. PWEZA- WENYE RANGI RANGI HUWA NA SUMU KALI MABAYO HUSABABISHA KIFO KWA BINADMAU
7. VYURA--- WANASUMU KALI HASWA VYURA WENYE RANGI ZA BLUE PAMOJA NA GOLD HUWEZA KUUWA WATU 20 NA KWA DAKIKA CHACHE TU.