Kila kitu kinachokutokea
kwenye maisha tambua huwa kina maana kubwa, tunaomba mungu tu mambo mabaya
yasitujie, mungu huwa na njia nyingi sana za kutufanya Tu mkumbuke yeye katika
nafasi zetu za maisha.
Kijana na kazi.
HEBU LEO TUJIULIZE NAMNA
VIJANA WANAO NA TULIOMALIZA CHUO TUNAVYOPATA CHANGAMOTO KATIKA KUYAANZA MAISHA
YA KUJITEGEMEA NA KUWA EGEMEO KWA WENGINE WALIO CHINI YETU.
MAMBO YAFUTAYAO NI BADHI
YA MAMBO NILIYO JIFUNZA BAADA YA KUMALIZA CHUO KUNIWEZESHA KUANZA KUWA MwANFUNZI
WA MAISHA NA MAENDELEO BINAFSI.
ü
JICHANGANYE
NA WATU WOTE USIBAGUE.
ü
PENDA
KUONGELEA TATIZO LAKO NA WATU WENGINE UTAONA MAFANIKIO.
ü
JIFUNZE
KUANZA KUWEKA MAWAZO YA KUTUNZA FEDHA.
ü
USIKATE TAMAA.
ü
SAIDIA
WENGINE KATIKA NAFASI YAKO.
ü
TUMIA KIPAJI
CHAKO.
ü
FUATA NDOTO
YAKO YA MDA MREFU.
ü
JITAHIDI
KUPATA WATU WALIOKUZIDI ELIMU MAARIFA ZAIDI YAKO.
n.b ni vizuri kufahamu kuwa katika kila jambo kuna
maendeleo hata katika hatua ndogo, sijafika nakualika nawe uwe shujaa katika
safari hii.