FURSA UZALISHAJI WA MIWA
Kutokana na ongezeko la watu na ukuaji wa kipato miongoni mwa watanzania, ukuaji wa soko la sukari Tanzania unakadiriwa kufikia asilimia 6% kwa mwaka. Upungufu wa usambazaji wa sukari kwa sasa unakadiriwa kufika tani 300,000.
Takwimu hizi zinategemewa kupanda kwa kasi kwa sababu wazalishaji wa sukari waliopo hawajaongeza uwezo wao wa kuzalisha kulingana na ukuaji wa mahitaji. Mbali na upungufu...