USIKATE TAMAA TUTAFIKA.

Je ushAkaA ukafikiria jinsi binadamu tunavyounganishwa pamoja katika namna tofauti na  sana. Kila kitu kinachokutokea kwenye maisha tambua huwa kina maana kubwa, tunaomba mungu tu mambo mabaya yasitujie, mungu huwa na njia nyingi sana za kutufanya Tu mkumbuke yeye katika nafasi zetu za maisha. Kijana...