
Uvivu
uvivu hutokana na nini?
Mtu unaposhindwa kufikirisha ubongo na kutenda maamuzi dhabiti, hiyo ni dalili ya uvivu. Tatizo hili linakuwa kubwa kwa sababu mbalimbali tokana na teknologia, mtu huyu yupo radhi akae aangalie Tv, Movies, aende club lakini asifanye jambo lolote la...