
OKama kuna mwezi ambao unaongoza kwa kulaumiwa na kulalamikiwa kwenye miezi 12 ya mwaka, basi ni mwezi Januari. Watu wengi huwa na malalamiko kuhusu mwezi huu, na hata wengine ambao hawana sababu zozote za kushindwa kufanya kitu, basi mwezi huu huwa sababu kwao.
Mwezi huu pia umekuwa unatumika kwa utani...