KIJANA WA SASA NA KAZI

BILA SHAKA KAZI NI MUHIMILI MKUBWA WA MAENDELEO KWA WATU WOTE KATIKA NCHI.
ila kwa asilimia kubwa changamoto ya kupata kazi katika sekta rasmi nayo imezidi kuongezeka hasa kwa kuwa na ufinyu wanfasi hizo kwa miaka ya karibuni
swali la kujiuliza lenye msingi mkubwa
je kijana awezaje kujipatia kipato...