Marafiki katika namna yeyote ile ni muhimu katika maisha yetu, ijapo kuwa ni muhimu kuwa nao ila swali linakuja ni aina gani ya marafiki tuwachague,
alisilimia kubwa ya marafiki huwa hawana mchan go wa namna yeyote katika ukuaji wa fikra za mtu bali huchangia kudimiza,
hivyo nimuhimu kuchagua marafiki ambao kwa namna kubwa hujaza kifikra hutuelekeza kattika njia iliyo njema, wawe ni marafiki...